Papa Urban I

(Elekezwa kutoka Papa Urbano I)
Papa Urbano I

Papa Urban I alikuwa papa kuanzia tarehe 14 Oktoba 222 hadi kifo chake tarehe 23 Mei 230.

Alimfuata Papa Kalisto I akafuatwa na Papa Ponsyano.

Urban I ni papa wa kwanza ambaye tarehe zake zina hakika kihistoria.

Anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 25 Mei, sikukuu yake.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.