Papa Symmachus

(Elekezwa kutoka Papa Simako)

Papa Symmachus alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Novemba 498 hadi kifo chake tarehe 19 Julai 514[1].

Mozaiki ya Papa Simako.

Alimfuata Papa Anastasio II akafuatwa na Papa Hormisdas.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Symmachus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.