Papa Hormisdas
Papa Hormisdas alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Julai 514 hadi kifo chake tarehe 6 Agosti 523.
Alimfuata Papa Simako akafuatwa na Papa Yohane I.
Alipochaguliwa alikuwa shemasi mjane; kutokana na ndoa yake alikuwa na mwana aliyekuja kuwa Papa Silverio baadaye.
Alifaulu kumaliza farakano na Kanisa la Kigiriki lililoanzishwa na Patriarki Acacius wa Konstantinopoli (484-519).
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
- Kuhusu Papa Hormisdas katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Decretum De Scripturis divinis quid universaliter catholica recipiat Ecclesia Archived Machi 2, 2009 at the Wayback Machine.
- Item Hormisde Pape ad Epiphanium Constantinopolitanum Episcopum
- De Hormisda in Lexico Sanctorum
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Hormisdas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |