Mtakatifu Plasido

(Elekezwa kutoka Plasido)

Mtakatifu Plasido, O.S.B. (Roma, 515- Messina, 541) alikuwa tangu ujanani mmonaki wa Italia, mfuasi mpendwa wa Benedikto wa Nursia, kama inavyoelezwa na Gregori Mkuu katika kitabu "Majadiliano".

"Mt. Benedikto akimuagiza Mt. Mauro kwenda kumuokoa Mt. Plasido", mchoro wa Filippo Lippi, O.Carm. (1445 hivi).

Alitumwa Sicilia kuanzisha monasteri nyingine, na huko inasimuliwa kuwa yeye, ndugu zake watatu na wamonaki 30 walivamiwa na kuuawa na maharamia Wavandali wenye chuki kwa Kanisa Katoliki, lakini habari hiyo haina uthibitisho[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 5 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Vyanzo

hariri
  • Gardner, Edmund G. (editor) (1911. Reprinted 2010). The Dialogues of Saint Gregory the Great. Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 978-1-889758-94-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-07. Iliwekwa mnamo 2020-10-03. {{cite book}}: |first= has generic name (help); Check date values in: |year= (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.