Rafka Petra

Rafka Petra Choboq Ar-Rayès, O.L.M. (kwa Kiarabu: رفقا بطرسيّة شبق ألريّس; Himlaya, 29 Juni 1832Jrebta, 23 Machi 1914), alikuwa mwanamke mmonaki wa Kanisa la Wamaroni nchini Lebanon.

Mt. Rafka Petra akiwa mahututi kitandani.

Baada ya kujiunga la masista walimu alichukua nafasi ya kujifungia monasterini kwa maisha ya sala na toba zaidi, ambayo yaliendana na maumivu mengi ya kiafya aliyoyapokea na kuyatoa kama sadaka.

Bikira huyo alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 16 Novemba 1985, halafu mtakatifu tarehe 10 Juni 2001.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rafka Petra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.