Sturmi wa Fulda (Lorch, Austria, 705 hivi - Fulda, Ujerumani, 17 Desemba 779) alikuwa mmonaki Mbenedikto ambaye, baada ya kipindi cha umisionari na upadrisho, alitumwa na askofu Bonifas mfiadini kuanzisha monasteri ya Fulda (744/747), akawa abati wake wa kwanza hadi kifo chake[1].

Noti anamoonekana Mt. Sturmi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na wengineo kama mtakatifu. Mwaka 1139 Papa Inosenti II alithibitisha heshima hiyo.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake kila mwaka[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.