Yosefu Gabrieli wa Rozari

Yosefu Gabrieli wa Rozari (kwa Kihispania: José Gabriel del Rosario Brochero; Santa Rosa de Río Primero, Argentina, 16 Machi 1840Villa del Tránsito, Córdoba, Argentina, 26 Januari 1914) alikuwa padri aliyeugua ukoma kutokana na utume mkubwa kwa ajili ya wagonjwa na fukara[1].

Picha halisi ya Mt. Yosefu Gabrieli uzeeni.

Alitangazwa na Papa Fransisko kuwa mwenye heri tarehe 14 Septemba 2013, halafu mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyozaliwa[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Blessed José Gabriel del Rosario Brochero". Saints SQPN. 1 December 2014. Iliwekwa mnamo 26 February 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Pope praises newly beatified Argentine "cowboy priest"". Catholic News Agency. 15 September 2013. Iliwekwa mnamo 22 August 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.