Kitabu cha Amosi
Kitabu cha Amosi ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania), na kwa hiyo pia ya Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Nabii mwenyewe
haririTofauti na manabii Eliya na Elisha waliomtangulia ambao hawakuacha maandishi, nabii Amosi (786 - 746 hivi K.K.) ana kitabu chenye mafundisho yake aliyoyatoa katika ufalme wa Israeli (Kaskazini) ingawa alikuwa raia wa ufalme wa Yuda (Kusini).
Hakutarajia kutumwa na Mungu, ila ilimbidi akubali kutabiri kwa niaba yake (7:10-17), hasa kuwa Israeli itaangamizwa na kutekwa na Waashuru utumwani kwa makosa yake dhidi ya imani, haki na kwa kufuata anasa (5-6).
Waisraeli walikataa maneno yake hata wakatendwa kama alivyowatabiria kwa ukali wote (2Fal 17:5-23).
Marejeo
hariri- Bulkeley, Tim Amos: Hypertext Bible Commentary. Auckland: Hypertext Bible, 2005. Amos: Hypertext Bible Commentary Archived 21 Novemba 2008 at the Wayback Machine.
- R., M. Daniel Amos: The Prophet and His Oracles. (Louisville: Westminster John Knox Press, 2002)
- Coote, Robert B. Amos Among the Prophets: Composition and Theology. Philadelphia: Fortress Press, 1981.
- Doorly, William J. Prophet of Justice: Understanding the Book of Amos. New York: Paulist Press 1989.
- Easton's Bible Dictionary, 1897.
- Hasel, Gerhard F. Understanding the Book of Amos: Basic Issues in Current Interpretations. Grand Rapids: Baker Book House, 1991.
- Haynes, John H. Amos the Eighth Century Prophet: His Times and His Preaching. Nashville: Abingdon Press, 1988.
- Keil, C.F. et al. Commentary on the Old Testament in Ten Volumes. Grand Rapids: William B. Eerdmans, 1986.
- LaSor, William Sanford et al. Old Testament Survey: the Message, Form, and Background of the Old Testament. Grand Rapids: William B. Eerdmans, 1996.
- Metzger, Bruce M., et al. The Oxford Companion to the Bible. New York: Oxford University Press, 1993.
- Möller, Karl. A Prophet in Debate: The Rhetoric of Persuasion in the Book of Amos. London: Sheffield Academic Press, 2003.
Viungo vya nje
hariri- Nicholas Whyte on Amos
- New Advent Catholic Encyclopedia, Amos Archived 5 Septemba 2011 at the Wayback Machine.
Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki
Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Amosi kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |