Mambo ya Nyakati II
Kitabu cha Mambo ya Nyakati katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kimegawanywa sehemu mbili katika Biblia ya Kikristo na kupangwa katika ya vitabu vya historia.
Sehemu ya pili kinaitwa Kitabu cha pili cha Mambo ya Nyakati kikianzia na habari za mfalme Solomoni.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Muhtasari wa Kitabu cha pili cha Mambo ya NyakatiEdit
1:1-9:31 Utawala wa Sulemani
10:1-36:23 Wafalme wa Yuda
Viungo vya njeEdit
Mwanzo Kutoka Walawi Hesabu Kumbukumbu Yoshua Waamuzi Ruthu Samueli I Samueli II Wafalme I Wafalme II Mambo ya Nyakati I Mambo ya Nyakati II Ezra Nehemia TobitiDKYudithiDKEsta Wamakabayo IDKWamakabayo IIDKYobu Zaburi Methali Mhubiri Hekima DKSiraDKWimbo Bora Isaya Yeremia Maombolezo BarukuDKEzekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki - Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mambo ya Nyakati II kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |