Benedikto Menni, O.H. (Milano, Italia, 11 Machi 1841 - Dinan, Ufaransa, 24 Aprili 1914) alikuwa padri wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia halafu Hispania, alipoanzisha shirika la Masista Wauguzi wa Moyo wa Yesu kwa ajili ya kuhudumia wahitaji wa kila aina[1][2][3][4].

Picha halisi ya Mt. Benedikto Menni mwaka 1905.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 23 Juni 1985, halafu mtakatifu tarehe 21 Novemba 1999.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Saint Benedetto Menni". Saints SQPN. 23 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Benedict Menni (1841-1914)". Holy See. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "The priest who changed the way we treat the mentally ill". Catholic Herald. 21 Aprili 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Saint Benedict Menni". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.