Eneo bunge la Budalangi
(Elekezwa kutoka Budalangi)
Eneo bunge la Budalangi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, Magharibi mwa nchi na ni moja ya majimbo saba katika kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Raphael Bitta Sauti Wanjala | Ford-K | |
2002 | Raphael Bitta Sauti Wanjala | NARC | |
2007 | Ababu Namwamba | ODM |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Bunyala Central | 10,699 |
Bunyala East | 13,877 |
Bunyala North | 13,343 |
Bunyala South | 6,314 |
Bunyala West | 16,064 |
Khajula | 7,395 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bukani | 2,098 | Port Victoria (Mji) |
Bukoma | 986 | Port Victoria (Mji) |
Bulemia | 2,008 | Port Victoria (Mji) |
Lunyofu | 1,279 | Port Victoria (Mji) |
Bunyala North | 7,879 | Busia County |
Bunyala South | 9,182 | Busia County |
Jumla | 23,432 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Budalangi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |