Deogratias wa Karthago

Deogratias wa Karthago[1][2] alikuwa askofu wa mji huo (katika Tunisia ya leo) katika miaka 454 - 457[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari[5] au 22 Machi[6][7][8].

Maisha

hariri

Inawezekana ni mtu yuleyule aliyetajwa mara nne na Augustino wa Hippo katika maandishi yake kama shemasi Deogratias halafu kama padri Deogratias[9].

Kutokana na dhuluma za Wavandali[10], kabla yake jimbo la Karthago lilikaa bila askofu miaka 14 tangu alipofariki Quodvultdeus na baada yake kwa miaka 23 tena hadi alipoteuliwa Eugenius wa Karthago[11][12][13]..

Deogratias aliuza vitu vyote vya thamani vya Kanisa ili kukomboa waliokuwa wametekwa na Wavandali kama watumwa mjini Roma akawalaza na kuwalisha katika mabasilika mawili.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Jr, Rev John Trigilio; Brighenti, Rev Kenneth (2010-01-06). Saints For Dummies (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 9780470606919.
  2. "African saints: St Deogratias of Carthage". The mouth of a labyrinth (kwa American English). 2013-03-22. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
  3. Watkins, Basil (2015-11-19). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. ISBN 9780567664150.
  4. "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net". Catholicireland.net (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
  5. Martyrologium Romanum
  6. Butler, Alban (1815). The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: Compiled from Original Monuments and Other Authentic Records, Illustrated with the Remarks of Judicious Modern Critics and Historians (kwa Kiingereza). J. Murphy.
  7. Online, Catholic. "St. Deogratius - Saints & Angels - Catholic Online". Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
  8. "Saint Deogratias, Bishop of Carthage, Confessor. March 22. Rev. Alban Butler. 1866. Volume III: March. The Lives of the Saints". www.bartleby.com. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
  9. Mandouze, Prosopographie de l'Afrique chrétienne, p. 272.
  10. "Feast of St. Deogratias (March 22)". SUNDRY THOUGHTS (kwa American English). 2011-01-24. Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
  11. "St. Deogratias | SUNDRY THOUGHTS". neatnik2009.wordpress.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  12. "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net". Catholicireland.net (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-09-28.
  13. "Holy Spirit Interactive: Catholic Saints - St. Deogratias". www.holyspiritinteractive.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)

Marejeo

hariri