Eleazari

Eleazari (kwa Kiebrania: אֶלְעָזָר, ʼElʽazar au ʼElʽāzār; maana yake "Mungu amesaidia") alikuwa kuhani mkuu wa pili katika Biblia ya Kiebrania baada ya kifo cha baba yake Aroni[1], kaka wa Musa.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba au 30 Julai[2].

Wengine walioitwa Eleazari katika BibliaEdit

Wanaume wengine sita wanatajwa kwa jina hilo katika Biblia:

Jina hilo liliandikwa kwa Kigiriki "Lazaro", kama kwa rafiki wa Yesu Lazaro wa Bethania.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eleazari kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.