Lazaro wa Bethania
Lazaro (kwa Kiebrania אלעזר, Eleazar au Eliezer) ni mtu anayetajwa katika Injili ya Yohane: aliishi katika karne ya 1 huko Bethania, kijiji karibu na Yerusalemu, pamoja na dada zake Martha na Maria.
Yesu Kristo alifurahia urafiki wao wote, hasa alipokuwa akihiji kwenda Yerusalemu.
Katika nafasi ya mwisho ya kufanya hivyo, alimfufua siku ya nne baada ya kifo chake, jambo lililofanya wengi wamuamini kuwa ndiye Kristo, lakini pia wapinzani wake waharakishe kifo chake mwenyewe[1].
Lazaro anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, na Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa pamoja na ya dada zake[2] tarehe 29 Julai[3].
Michoro ya Ufufuko wa Lazaro
hariri-
Ufufuko wa Lazaro, picha takatifu ya Kirusi, karne ya 15, kazi ya Shule ya Novgorod; iko (State Russian Museum, Saint Petersburg)
-
Ufufuko wa Lazaro, mchoro wa miaka 1517-1519, kazi ya Sebastiano del Piombo (National Gallery, London)
-
Ufufuko wa Lazaro]], mchoro wa mwaka 1609 hivi, kazi ya Michelangelo Merisi da Caravaggio (Museo Regionale, Messina)
-
Ufufuko wa Lazaro, 1630-1631, mchoro wa Rembrandt van Rijn (Los Angeles County Museum of Art, Los Angeles)
-
Ufufuko wa Lazaro (kufuatana na Rembrandt), 1890, mchoro wa Vincent van Gogh (Van Gogh Museum, Amsterdam)
-
Ufufuko wa Lazaro, 1857, mchoro wa Léon Joseph Florentin Bonnat
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |