Eneo bunge la Budalangi

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Budalangi)

Eneo bunge la Budalangi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, Magharibi mwa nchi na ni moja ya majimbo saba katika kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Raphael Bitta Sauti Wanjala Ford-K
2002 Raphael Bitta Sauti Wanjala NARC
2007 Ababu Namwamba ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Bunyala Central 10,699
Bunyala East 13,877
Bunyala North 13,343
Bunyala South 6,314
Bunyala West 16,064
Khajula 7,395
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Bukani 2,098 Port Victoria (Mji)
Bukoma 986 Port Victoria (Mji)
Bulemia 2,008 Port Victoria (Mji)
Lunyofu 1,279 Port Victoria (Mji)
Bunyala North 7,879 Busia County
Bunyala South 9,182 Busia County
Jumla 23,432
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri