Eneo bunge la Ganze
Eneo bunge la Ganze ni Jimbo la uchaguzi la nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo saba ya uchaguzi yanayopatikana katika Kaunti ya Kilifi iliyoko pwani mwa Kenya. Jimbo hili lina wodi tisa, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la kaunti.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia hariri
Jimbo hili lilianzishwa awakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge hariri
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Noah Katana Ngala | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Noah Katana Ngala | KANU | |
1997 | Noah Katana Ngala | KANU | |
2002 | Joseph Kahindi Kingi | NARC | |
2007 | Francis Bayah | KADU-A | |
2013 | Peter Safari Shehe | Federal Party of Kenya |
Kata na Wodi hariri
Kata | |
Kata | Idadi ya Wakazi* |
---|---|
Bamba | 20,701 |
Bandari | 8,419 |
Dungicha | 4,132 |
Ganze | 10,046 |
Jaribuni | 6,210 |
Kauma | 10,797 |
Mitangani | 7,053 |
Mrima wa Ndege | 5,577 |
Mwahera | 16,519 |
Ndigiria | 8,367 |
Palakumi | 10,069 |
Sokoke | 19,351 |
Vitengeni | 12,171 |
Jumla | 139,412 |
Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Bamba | 5,405 |
Dungicha / Ganze | 4,259 |
Kauma / Jaribuni | 4,259 |
Mitangani | 2,008 |
Mwahera | 4,048 |
Ndigiria / Bandari | 4,202 |
Palakumi | 2,677 |
Sokoke | 5,214 |
Vitengeni | 4,518 |
Jumla | 36,590 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Ganze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |