Eneo bunge la Kitui ya Kati


Eneo bunge la Kitui ya Kati ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo nane ya Kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Eliud Ngala Mwendwa.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Eliud Ngala Mwendwa KANU
1969 Eliud Ngala Mwendwa KANU Mfumo wa chama Kimoja
1974 Daniel Musyoka Mutinda KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1976 Daniel Musyoka Mutinda KANU Uchaguzi mdogo
1979 Titus Mbathi KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 John Mutinda KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 George Ndotto KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Charity Ngilu DP
1997 Charity Ngilu SDP
2002 Charity Ngilu NARC
2007 Charity Ngilu NARC
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Baraza la Utawala wa Mitaa
Itoleka / Katulani 5,140 Munisipali ya Kitui
Kisasi / Mbitini / Mbusyani 14,025 Kitui county
Kitui township / Kaveta 8,874 Munisipali ya Kitui
Kyangwithya East 11,288 Munisipali ya Kitui
Kyangwithya West 8,200 Munisipali ya Kitui
Maliku 4,738 Kitui county
Miambani 5,196 Kitui county
Mulango 6,504 Munisipali ya Kitui
Jumla 63,965
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri