Eneo bunge la Laisamis


Eneo bunge Laisamis ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Jjmbo hili linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, mashariki mwa nchi. Eneo lote la jimbo hilo limo katika baraza la Marsabit County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Samuel Ntontoi Bulyaar KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Robert Iltaramatwa Kochalle KANU
1997 Robert Iltaramatwa Kochalle KANU
2002 Titus Ngoyoni KANU Ngoyoni aliaga katika ajali ya ndege mnamo 2006 [2].
2006 Joseph Lekuton KANU Uchaguzi Mdogo
2007 Joseph Lekuton KANU

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Illaut/Ngurunit 5,038
Kargi 5,609
Korr 8,018
Laisamis 9,066
Logologo 4,057
Loiyangalani 8,049
Merille 3,032
Mount Kulal 3,910
South Horr 3,071
Jumla 49,850
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Korr 4,494
Laisamis 3,429
Logologo 1,763
Loiyangalani 2,077
Mount Kulal 1,077
South Horr 2,755
Jumla 15,595
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri