Eneo bunge la Machakos Mjini
Eneo bunge la Machakos Mjini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linnapatikana katika Kaunti ya Machakos, mashariki mwa Kenya.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 1988. Mbunge wake wa kwanza alikuwa John Kyallo.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | John Kyallo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | John Kyallo | KANU | |
1994 | Alphonce Mbinda Musyoki | KANU | Uchaguzi mdogo |
1997 | Jonesmus Mwanza Kikuyu | SDP | |
2002 | Fredrick Daudi Mwanzia | NARC | |
2007 | Victor Munyaka | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi |
---|---|
Kalama | 21,702 |
Katheka Kai | 17,485 |
Kiima-Kimwe | 22,741 |
Kimutwa | 17,265 |
Kola | 14,567 |
Lumbwa | 13,609 |
Masaku | 19,980 |
Mau Hills | 8,579 |
Mumbuni | 49,802 |
Muputi | 12,156 |
Mutituni | 14,300 |
Ngelani | 11,989 |
Jumla | x |
Wards | ||
Wodi | Wapiga Kura | Baraza la Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Eastleigh | 11,027 | Munisipali ya Machakos |
Kalama / Kyangala | 7,935 | Masaku County |
Katheka Kai | 5,183 | Munisipali ya Machakos |
Kiima-Kimwe / Muvuti | 9,897 | Munisipali ya Machakos |
Kimutwa | 5,829 | Munisipali ya Machakos |
Mjini | 8,166 | Munisipali ya Machakos |
Mua | 2,937 | Munisipali ya Machakos |
Mumbuni North | 6,606 | Munisipali ya Machakos |
Mumbuni South | 6,087 | Munisipali ya Machakos |
Mutituni | 5,528 | Munisipali ya Machakos |
Muumandu / Kola | 8,629 | Masaku County |
Ngelani | 5,095 | Munisipali ya Machakos |
Jumla | 82,919 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Machakos Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |