Eneo bunge la Mbeere Kusini


Eneo bunge la Mbeere Kusini (awali: Gachoka) ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo mane ya Kaunti ya Embu. Ina Wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Mbeere County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 1988.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Jeremiah Nyagah KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Norman Nyagah DP
1997 Jeremiah Nyagah KANU
2002 Jeremiah Nyagah NARC
2007 Mutava Musyimi PNU

Katana Wodi hariri

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Karaba 18,544
Kiambere 12,698
Kianjiru 20,506
Makima 15,062
Mavuria 20,134
Mbeti South 16,087
Riakanau 14,181
Jumla x
Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Karaba 7,779
Kiambere 4,356
Kianjiru 6,790
Makima 5,643
Mavuria 7,828
Mbeti South 7,302
Riakanau 5,468
Jumla 45,166
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri