Eneo bunge la Mbooni
Eneo bunge la Mbooni ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya, likiwa miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Simon Masau Kioko | KANU | |
1969 | Simon Masau Kioko | KANU | Mfumo wa Vyama Vingi |
1974 | Fredrick Mulinge Kalulu | KANU | Mfumo wa Vyama Vingi |
1979 | Fredrick Mulinge Kalulu | KANU | Mfumo wa Vyama Vingi |
1983 | Joseph Konzollo Munyao | KANU | Mfumo wa Vyama Vingi |
1988 | Johnstone Mwendo Makau | KANU | Mfumo wa Vyama Vingi |
1992 | Johnstone Mwendo Makau | KANU | |
1997 | Fredrick Mulinge Kalulu | KANU | |
2002 | Joseph Konzollo Munyao | NARC | |
2007 | Mutula Kilonzo | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Athi | 6,184 |
Kako | 7,636 |
Kalawa | 9,974 |
Katangini | 8,668 |
Kathulumbi | 7,209 |
Kisau | 18,766 |
Kiteta | 23,253 |
Kithungo | 15,467 |
Kitundu | 15,089 |
Mbooni | 37,549 |
Tulimani | 39,789 |
Waia | 19,428 |
Jumla | x |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili | Baraza la Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Kako | 2,144 | Wote (Mji) |
Kalawa | 4,970 | Makueni county |
Katangini | 4,764 | Makueni county |
Kisau | 11,445 | Makueni county |
Kiteta | 7,470 | Makueni county |
Kithungo / Kitundu | 9,092 | Makueni county |
Mbooni | 11,219 | Makueni county |
Tulimani | 13,329 | Makueni county |
Jumla | 64,433 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mbooni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |