Eneo bunge la Tharaka
Eneo bunge la Tharaka ni Jimbo la uchaguzi nchini Kenya.
Eneo lote la Jimbo hilo liko katika Baraza la Kaunti ya Tharaka-Nithi.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.
wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge[1] | Chama | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|
1988 | Francis Nyamu Kagwima | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Francis Nyamu Kagwima | KANU | |
1997 | Murago Cicilio Mwenda | DP | |
2002 | Francis Nyamu Kagwima | Ford-Asili | |
2007 | Alex Muthengi Mwiru | PNU |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliosajiliwa |
---|---|
Chiakariga | 3,993 |
Gatue | 2,307 |
Gikingo | 4,787 |
Kamarandi / Kamanyaki | 2,608 |
Kanjoro | 3,056 |
Kathangachini | 1,388 |
Maragwa | 2,060 |
Marimanti | 2,686 |
Nkondi | 5,622 |
Ntugi | 2,521 |
Tunyai | 4,682 |
Turima | 4,480 |
Total | 40,190 |
*Septemba 2005 [2].
|
Marejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Tharaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |