Eneo bunge la Webuye

Eneo bunge la Webuye ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchini na ni moja kati ya majimbo ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


HistoriaEdit

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

WabungeEdit

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Joash Mang’oli KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Musikari Kombo Ford-K
1994 Saulo Wanambisi Busolo Ford-K Uchaguzi Mdogo
1997 Musikari Kombo Ford-K
2002 Musikari Kombo NARC
2007 Alfred Sambu ODM

WodiEdit

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Bokoli 8,354 Bungoma County
Chetambe 11,219 Bungoma County
Misikhu 8,120 Bungoma County
Nabuyole 5,681 Munisipali ya Webuye
Ndivisi 10,319 Bungoma County
Sitikho 7,758 Bungoma County
Webuye Central 2,883 Munisipali ya Webuye
Webuye North 3,847 Munisipali ya Webuye
Webuye South 2,419 Munisipali ya Webuye
Webuye West 2,806 Munisipali ya Webuye
Jumla 63,406
*Septemba 2005 [2].

Tazama PiaEdit

MarejeoEdit