Florentina wa Cartagena
Florentina wa Cartagena (Cartagena, leo nchini Hispania, 545/550 - labda Sevilia, Hispania, 612 hivi) alikuwa bikira ambaye aliongoza monasteri mbalimbali kufuatana na kanuni aliyopewa na kaka yake Leandri wa Sevilia kwa jina la De institutione virginum et contemptu mundi (P.L., LXXII, 873 sqq).

Sanamu yake.
Alizaliwa na Severianus na Turtura akiwa mmoja kati ya watoto watano, ambao kati yao watatu wengine wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu: Leandri, Fulgensi na Isidori wa Sevilia, wote maaskofu[1][2][3].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Saint Florentina of Cartagena. Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-07-16.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67830
- ↑ St. Florentina - Saints & Angels - Catholic Online
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Florentina at the Catholic Encyclopedia
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |