Historia ya elimu ilianza miaka mingi kwa kuwa elimu kama sayansi haiwezi kutengwa na utamaduni wowote wa elimu iliyokuwepo awali. Wakubwa waliwafunza wadogo wao juu ya jamii kwa kutumia maarifa na ujuzi waliohitaji kufahamu na mwishowe kupitisha.

Abasia ya Cluny ilikuwa mojawapo kati ya vitovu vya elimu Ulaya katika karne za kati.
Mchoro wa Chuo Kikuu cha Bologna, Italia, kilichoanzishwa mwaka 1088 kikiwa cha kwanza duniani.

Mabadiliko ya utamaduni na binadamu kama spishi yalitegemea mazoea ya kupitisha elimu. Katika jamii ambazo hazikujua kusoma, hili liliafikiwa kupitia mdomo na kuiga. Kusimuliana hadithi kuliendelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

Lugha ya mazungumzo iliendelea na kuwa ishara na herufi. Kina na upana wa elimu au maarifa ulioweza kuhifadhiwa na kupitishwa uliongezeka zaidi na zaidi. Wakati ambapo tamaduni zilianza kupanua elimu zaidi ya ujuzi wa kawaida wa mawasiliano, biashara, ukusanyaji chakula, tunu na desturi za kidini na kadhalika, mwishowe elimu rasmi na masomo vilifuatia. Kisomo kwa maana hii kilikuwa kimeshaanza nchini Misri kati ya 3000 na 500 KK.

Siku hizi aina fulani ya elimu ni jambo la lazima kwa watu wote katika nchi nyingi. Kwa sababu ya ongezeko la watu na kuenea kwa elimu ya lazima, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limepiga hesabu ya kwamba miaka 30 ijayo, watu wengi zaidi ulimwenguni watapata elimu rasmi katika historia ya binadamu.[1]

Tanbihi

hariri
  1. Robinson, K.: Shule Kill Creation. TED Talks, 2006, Monterrey, CA, USA.

Marejeo

hariri
  • Cubberley, Ellwood Patterson. The History of Education: Educational Practice and Progress Considered as a Phase of the Development and Spread of Western Civilization (1920) online
  • James,Samantha.'how education came about"(2014)retrieved from http://www.education.com
  • Palmer, Joy A. et al. eds. Fifty Major Thinkers on Education: From Confucius to Dewey (2001) online
  • Palmer, Joy A. ed. Fifty Modern Thinkers on Education: From Piaget to the Present Day (2001) online
  • Peterson, Penelope et al. eds. International Encyclopedia of Education (3rd ed. 8 vol 2010) comprehensive coverage for every nation
  • Dharampal, . (1983). The beautiful tree: Indigenous Indian education in the eighteenth century. New Delhi: Biblia Impex.
  • Elman, Benjamin A., and Alexander Woodside. Education and Society in Late Imperial China, 1600-1900 (U of California Press, 1994)
  • Lee, Thomas H. C. Education in traditional China: a history (2000) online
  • Jayapalan N. History Of Education In India (2005) excerpt and text search
  • Price, Ronald Francis. Education in modern China (Routledge, 2014)
  • Sharma, Ram Nath. History of education in India (1996) excerpt and text search
  • Anderson, Robert David. European Universities from the Enlightenment to 1914 (Oxford University Press, 2004)
  • Begley, Ronald B. and Joseph W. Koterski. Medieval Education (2005) online
  • Butts, R. Freeman. A Cultural History of Western Education: Its Social and Intellectual Foundations (2nd ed. 1955) online
  • Cook, T. G. The History of Education in Europe (1974)
  • Cubberley, Ellwood. The history of education (1920) online Strong on European developments
  • Graff, Harvey J. The Legacies of Literacy: Continuities and Contradictions in Western Culture and Society (1987) from Middle Ages to present
  • Hoyer, Timo. "Sozialgeschichte der Erziehung. Von der Antike bis in die Moderne" [Social History of Education. From Ancient to Modern Age] (Wissenschaftliche Buchgesellschaft Darmstadt, 2015)
  • Lawson, John, and Harold Silver. A social history of education in England (Routledge, 2013)
  • McCulloch, Gary. The Struggle for the History of Education (2011), Focus on Britain excerpt; Chapter 1 covers historiography Archived 11 Machi 2016 at the Wayback Machine..
  • McCulloch, Gary. Historical Research in Educational Settings (2000); Textbook on how to write British educational history. excerpt; Good bibliography
  • Ringer, Fritz. Education and Society in Modern Europe (1979); focus on Germany and France with comparisons to US and Britain
  • Soysal, Yasemin Nuhoglu, and David Strang. "Construction of the First Mass Education Systems in Nineteenth-Century Eu*Kigezo:Cite Americanarope," Sociology of Education (1989) 62#4 pp. 277–288 in JSTOR
  • Sturt, Mary. The education of the people: A history of primary education in England and Wales in the nineteenth century (Routledge, 2013)
  • Toloudis, Nicholas. Teaching Marianne and Uncle Sam: Public Education, State Centralization, and Teacher Unionism in France and the United States (Temple University Press, 2012) 213 pp
  • Wardle, David. English popular education 1780-1970 (Cambridge UP, 1970)
  • Whitehead, Barbara J., ed. Women's education in early modern Europe: a history, 1500-1800 (1999) online specialized topics

Marekani

hariri
  • Cremin, Lawrence A. American Education: The Colonial Experience, 1607–1783 (1970); American Education: The National Experience, 1783–1876. (1980); American Education: The Metropolitan Experience, 1876-1980 (1990); standard 3 vol detailed scholarly history
  • Goldstein, Dana. The Teacher Wars: A History of America's Most Embattled Profession (2014)
  • Herbst, Juergen. The once and future school: Three hundred and fifty years of American secondary education (1996).
  • Parkerson Donald H., and Jo Ann Parkerson. Transitions in American education: a social history of teaching (2001)
  • Reese, William J. America's Public Schools: From the Common School to No Child Left Behind (Johns Hopkins U. Press, 2005)
  • Thelin, John R. A History of American Higher Education (2011)

Historia

hariri
  • Gaither, Milton, "The Revisionists Revived: The Libertarian Historiography of Education," History of Education Quarterly 52 (Nov. 2012), 488–505.
  • King, Kelley. "How Educational Historians Establish Relevance,": American Educational History Journal (2014) 41#1/2 pp 1–19.

Vyanzo

hariri
  • Cubberley, Ellwood Patterson ed. Readings in the History of Education: A Collection of Sources and Readings to Illustrate the Development of Educational Practice, Theory, and Organization (1920 online
  • Knight, Edgar W., and Clifton L. Hall, eds. Readings in American Educational History (1951) online
  • Leach, Arthur F. ed. Educational Charters and Documents 598 to 1909 (1911) online

Viungo vya nje

hariri