Eneo bunge la Belgut

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Belgut)

Eneo bunge la Belgut ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kericho miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama vidokezo
1963 Alfred Kiprato Kerich KADU
1969 Wesley K. Rono KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Alfred Kiprato arap Kerich KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Ayub arap Chepkwony KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Kiptarus arap Kirior KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Ayub arap Chepkwony KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Kiptarus arap Kirior KANU
1997 Kipng’eno arap Ngeny KANU
2002 Charles Cheruiyot Keter KANU
2007 Charles Cheruiyot Keter ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Kapsuser 15,000
Chaik 27,870
Chemamul 15,051
Kabianga 15,909
Kaplelatet 15241
Kebeneti 22,096
Kiptere 20,692
Seretut 18,283
Waldai 41,616
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Cheptororiet 3,162 Munisipali ya Kericho
Kapsuser 2,517 Munisipali ya Kericho
Kipkoiyan 3,934 Munisipali ya Kericho
Chaik 8,691 Kipsigis county
Chemamul 5,588 Kipsigis county
Kabianga 5,895 Kipsigis county
Kaplelatet 4,553 Kipsigis county
Kebeneti 6,867 Kipsigis county
Kiptere 7,091 Kipsigis county
Seretut 2,549 Kipsigis county
Waldai 9,260 Kipsigis county
Jumla 60,107
*Septemba 2005 [2].

Tazaama Pia

hariri

Marejeo

hariri