Eneo bunge la Mbeere Kusini
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Gachoka)
Eneo bunge la Mbeere Kusini (awali: Gachoka) ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo mane ya Kaunti ya Embu. Ina Wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Mbeere County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Jeremiah Nyagah | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Norman Nyagah | DP | |
1997 | Jeremiah Nyagah | KANU | |
2002 | Jeremiah Nyagah | NARC | |
2007 | Mutava Musyimi | PNU |
Katana Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Karaba | 18,544 |
Kiambere | 12,698 |
Kianjiru | 20,506 |
Makima | 15,062 |
Mavuria | 20,134 |
Mbeti South | 16,087 |
Riakanau | 14,181 |
Jumla | x |
Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Karaba | 7,779 |
Kiambere | 4,356 |
Kianjiru | 6,790 |
Makima | 5,643 |
Mavuria | 7,828 |
Mbeti South | 7,302 |
Riakanau | 5,468 |
Jumla | 45,166 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mbeere Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |