Eneo bunge la Ganze

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Ganze)


Eneo bunge la Ganze ni Jimbo la uchaguzi la nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo saba ya uchaguzi yanayopatikana katika Kaunti ya Kilifi iliyoko pwani mwa Kenya. Jimbo hili lina wodi tisa, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la kaunti.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa awakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Noah Katana Ngala KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Noah Katana Ngala KANU
1997 Noah Katana Ngala KANU
2002 Joseph Kahindi Kingi NARC
2007 Francis Bayah KADU-A
2013 Peter Safari Shehe Federal Party of Kenya

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya
Wakazi*
Bamba 20,701
Bandari 8,419
Dungicha 4,132
Ganze 10,046
Jaribuni 6,210
Kauma 10,797
Mitangani 7,053
Mrima wa Ndege 5,577
Mwahera 16,519
Ndigiria 8,367
Palakumi 10,069
Sokoke 19,351
Vitengeni 12,171
Jumla 139,412
Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Bamba 5,405
Dungicha / Ganze 4,259
Kauma / Jaribuni 4,259
Mitangani 2,008
Mwahera 4,048
Ndigiria / Bandari 4,202
Palakumi 2,677
Sokoke 5,214
Vitengeni 4,518
Jumla 36,590
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri