Eneo bunge la Gem

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Gem)


Eneo bunge la Gem ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo sita yapatikanayo katika Kaunti ya Siaya.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi ya kwanza kuanzishwa nchini Kenya baada ya Uhuru. Lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 C.M.G. Argwings-Kodhek KANU
1969 Wasonga Sijeyo KANU Mfumo wa Chama Kimoja. Sijeyo alitiwa nguvuni kwa sababu za kisiasa, ikipelekea uchaguzi Mdogo mwaka huo,[2]
1969 Isaac Omolo Okero KANU Mfumo wa Chama Kimoja, Uchaguzi Mdogo
1974 Isaac Omolo Okero KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Aggrey Otieno Ambala KANU Mfumo wa chama Kimoja
1983 Horace Owiti KANU Mfumo wa chama Kimoja
1985 Grace Ogot KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Grace Ogot KANU Mfumo wa chama Kimoja
1992 Oki Ooko Ombaka Ford-K
1997 Joe Donde Ford-K
2002 Washington Jakoyo Midiwo NARC
2007 Washington Jakoyo Midiwo ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Utawala wa Mitaa
Anyiko / Sauri 2,361 Yala (Mji)
Central Gem 7,109 Siaya county
East Gem 4,891 Siaya county
Jina 1,890 Yala (Mji)
Marenyo 2,375 Yala (Mji)
North Gem 8,463 Siaya county
Nyamninia 4,173 Yala (Mji)
South Gem 6,442 Siaya county
Wagai North 8,381 Siaya county
Wagai South 5,819 Siaya county
Jumla 51,904
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

hariri

Virejeleo

hariri
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
  2. "We Lived To Tell - The Nyayo House Story" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-10-07. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency