Eneo bunge la Lamu Magharibi
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Lamu Magharibi)
Eneo bunge la Lamu Magharibi ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Lamu, huku likiwa moja kati ya majimbo mawili ya Uchaguzi katika kaunti hiyo ya pwani. Jimbo hili lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Lamu county.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo la Lamu Magharibi lilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Abu Somo.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Abu Somo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1969 | Abu Somo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1970 | Mohamed M. Modhihiri | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Abdillahiman Omar Cheka | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Abdillahiman Omar Cheka | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Omar Twalib Mzee | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Abdul Aziz Bujra | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Abdukarim Mohamed Ali | KANU | |
1997 | Fahim Yasin Twaha | KANU | |
2002 | Fahim Yasin Twaha | KANU | |
2007 | Fahim Yasin Twaha | NARC-K |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Baharini | 6,380 |
Dide Waride | 3,294 |
Hindi Magongoni | 5,303 |
Hongwe | 6,538 |
Langoni | 8,619 |
Mapenya | 5,334 |
Matondoni | 2,797 |
Mkomani | 6,819 |
Mkunumbi | 1,678 |
Mokowe | 3,121 |
Mpeketoni | 9,977 |
Ndambwe | 505 |
Shella / Manda | 2,386 |
Witu | 3,830 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiaandikisha |
---|---|
Baharini | 2,228 |
Dide Waride | 1,380 |
Hindi/Magogoni | 1,921 |
Hongwe | 2,581 |
Langoni / Manda / Shella | 4,649 |
Mapenya | 1,697 |
Mkomani / Matondoni | 4,780 |
Mkunumbi | 1,606 |
Mokowe | 1,466 |
Mpeketoni | 3,926 |
Witu | 2,783 |
Jumla | 29,017 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Lamu Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |