Eneo bunge la Lamu Mashariki
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Lamu Mashariki)
Eneo bunge Lamu Mashariki ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya kaunti ya Lamu, pwani mwa Kenya. Jimbo hili lina wodi sita, zote zikichagua madiwani katika baraza la kaunti.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Abubakar H. M. Madhubuti.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1969 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1970 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Abu Chiaba | KANU | |
1997 | Mohamed Salim Hashim | KANU | |
2002 | Abu Chiaba | KANU | |
2007 | Abu Chiaba | PNU |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Basuba | 873 |
Faza | 2,166 |
Kiunga | 1,040 |
Kizingitini | 1,733 |
Mbwajumwali | 2,903 |
Ndau | 2,205 |
Pate | 2,144 |
Siyu | 2,137 |
Tchundwa | 3,221 |
Jumla | x |
Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Basuba | 311 |
Faza / Tchundwa | 2,971 |
Kiunga | 1,107 |
Kizingitini West | 3,646 |
Ndau | 1,042 |
Siyu / Pate | 2,558 |
Total | 11,635 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Lamu Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |