Eneo bunge la Ugenya

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Ugenya)


Eneo bunge la Ugenya ni Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo sita ya kaunti ya Siaya.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi makongwe zaidi nchini Kenya. Lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 John Odero-Sar KPU
1969 Matthews Joseph Ogutu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Matthews Joseph Ogutu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Matthews Joseph Ogutu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1980 James Orengo KANU Uchaguzi mdogo
1983 Stephen Oluoch Ondiek KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Stephen Oluoch Ondiek KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 James Orengo Ford-K
1997 James Orengo Ford-K
2002 Stephen Oluoch Ondiek NARC
2007 James Orengo ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Serikali ya Mitaa
Ambira / Ngunya 4,070 Ugunja mji
East Ugenya 4,770 Siaya County
Magoya / Rambula 3,014 Ugunja (mji)
North East Ugenya 10,357 Siaya (county)
North Ugenya 6,771 Ukwala (mji)
North West Ugenya 4,634 Ukwala (mji)
South Ugenya 8,249 Siaya County
Ugunja 2,972 Ugunja (mji)
Uholo East 5,389 Siaya County
Uholo North 4,828 Siaya County
Ukwala East 4,409 Ukwala (Mji)
Ukwala West 4,330 Ukwala (Mji)
Umala 2,738 Ugunja (Mji)
West Ugenya 3,817 Siaya County
Jumla 70,348
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri