Eneo bunge la Webuye
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Webuye)
Eneo bunge la Webuye ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchini na ni moja kati ya majimbo ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Joash Mang’oli | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Musikari Kombo | Ford-K | |
1994 | Saulo Wanambisi Busolo | Ford-K | Uchaguzi Mdogo |
1997 | Musikari Kombo | Ford-K | |
2002 | Musikari Kombo | NARC | |
2007 | Alfred Sambu | ODM |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bokoli | 8,354 | Bungoma County |
Chetambe | 11,219 | Bungoma County |
Misikhu | 8,120 | Bungoma County |
Nabuyole | 5,681 | Munisipali ya Webuye |
Ndivisi | 10,319 | Bungoma County |
Sitikho | 7,758 | Bungoma County |
Webuye Central | 2,883 | Munisipali ya Webuye |
Webuye North | 3,847 | Munisipali ya Webuye |
Webuye South | 2,419 | Munisipali ya Webuye |
Webuye West | 2,806 | Munisipali ya Webuye |
Jumla | 63,406 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency