Leo I wa Cava, O.S.B. (Lucca, Italia ya Kati - Cava de' Tirreni, Salerno, 12 Julai 1079) alikuwa amejiunga na monasteri ya Cava akachaguliwa na mwanzilishi wake, Alferi, kuwa abati wake wa pili kuanzia mwaka 1050 hadi kifo chake.

Mt. Leo akitokewa na Bikira Maria.

Katika miaka 30 ya uongozi wake, alisaidia fukara kwa kazi ya mikono yake na kuwatetea dhidi ya matajiri[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 21 Desemba 1893.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 4 Machi[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Hugone abbate Venusino, Vitae quatuor priorum abbatum cavensium Alferii, Leonis, Petri et Costabilis edizioni Leone Mattei Cerasoli , in Rerum italicarum scriptores – Bologna 1941
  • Simeone Leone, Dalla fondazione del cenobio al secolo XVI, in La badia di Cava, edizioni Di Mauro – Cava de' Tirreni, 1985
  • Massimo Buchicchio, Cronotassi degli Abati della Santissima Trinità de La Cava. Cava de' Tirreni, 2010
  • Joseph Ratzinger, Santi. Gli autentici apologeti della Chiesa, Lindau Edizioni, Torino 2007 ISBN 978-88-7180-706-5
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.