Lorenzo Ruiz
Lorenzo Ruiz (kwa Kichina: 李樂倫; Binondo, Manila, Ufilipino 1600 hivi – Nagasaki, Japani 29 Septemba 1637),[1] ni Mfilipino[2] wa kwanza kutangazwa mtakatifu na Kanisa Katoliki[3].
Mlei huyo alifia dini ya Ukristo kisha kukataa kuhama Japani na kukana imani yake wakati wa dhuluma za watawala wa Edo (leo Tokyo) kutoka ukoo wa Tokugawa katika karne ya 17.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mfiadini mwenye heri tarehe 18 Februari 1981, halafu mtakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.
Pamoja naye walitangazwa watakatifu na wanaheshimiwa kama wafiadini wa Japani (1633–1637):[4][5][6]
- Antonio Gonzalez
- Dominiko Ibáñez de Erquicia
- Yakobo Kyushei Tomonaga
- Fransisko Shoyemon
- Jordano Ansalone
- Lazaro wa Kyoto
- Luka Alonso
- Marina wa Omura
- Magdalena wa Nagasaki
- Mathayo Kohioye
- Mikaeli wa Aozaraza
- Mikaeli Kurobioye
- Thomas Rokuzayemon
- Vinsenti Shiwozuka
- William Courtet
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba[7].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20020527_saints-jp-ii_it.html
- ↑ Ila baba yake alikuwa Mchina.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/72250
- ↑ Biography at the Vatican website
- ↑ USCCB (Office of Media Relations) – Beatifications During Pope John Paul II’s Pontificate Ilihifadhiwa 19 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Lawrence Ruiz and companions from the Vatican website
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Carunungan, Celso Al. To Die a Thousand Deaths: A Novel on the Life and Times of Lorenzo Ruiz, Social Studies Publications, Metro Manila, Philippines, 1980, 198 pages and Amazon.co.uk
- Delgado, Antonio C. The Making of The First Filipino Saint, The Ala-Ala Foundation, 1982
- Lorenzo de Manila, The Proto-Martyr of The Philippines and his Companions - Fr. Fidel Villarroel, O.P., 1988
- Constantino Alvares, Jose Garcia, Pedro Tejero, Witnesses of the faith in the Orient: Dominican Martyrs of Japan, China, and Vietnam, Manila, Life Today Publications, 1989, ISBN 971-8596-03-8
Viungo vya nje
hariri- Saint Lorenzo Parish Community, Walnut, California, StLorenzo.org
- Cause for Beatification Archived 2013-01-11 at Archive.today
- Mosaic in Saint Peter's Basilica
- St. Lorenzo Ruiz in the Communion of Saints Tapestries Ilihifadhiwa 20 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- St. Lorenzo Ruiz Prayer in times of adversity. Translated into Spanish by José Tlatelpas, traditional version in English and Tagalog. Published in the Canadian Hispanic webzine "La Guirnalda Polar". Ilihifadhiwa 23 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |