Eneo bunge la Ijara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created page with ''''Jimbo la Uchaguzi la Ijara''' ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Ijara mkoani [[Mk...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 21:55, 29 Januari 2010
Jimbo la Uchaguzi la Ijara ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Ijara mkoani Kaskazini Mashariki, na ndilo jimbo la pekee katika wilaya hiyo. Linashirikisha wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Ijara County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | |
1997 | Mohamed Dahir Werah | KANU | |
2002 | Yusuf Mohamed Haji | KANU | |
2007 | Yusuf Mohamed Haji | KANU |
Wodi
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Hadaro | 595 |
Ijara | 2,165 |
Ijara South | 1,990 |
Korisa | 1,583 |
Kotile | 833 |
Masalani | 2,163 |
Sangailu | 1,044 |
Jumla | 10,373 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
Virejeleo
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency