Ngilamu
Jina la kuzaliwa Maliki
Amezaliwa 30 Januari 1976 (1976-01-30) (umri 48)
Asili yake Nairobi, Kenya
Kazi yake Mfasiri, Mwalimu wa Kiswahili na isimu
Miaka ya kazi 1999 - hadi leo
Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi ni Maliki kutoka Nairobi, Kenya. Kwa sasa mimi ni mkazi wa Marekani. Ninafanya kazi ya mwalimu wa Kiswahili na isimu mjini Washington. Lugha yetu ya Kiswahili ni shauku yangu; najivunia, nataka kuikuza na nafurahia kuweza kuihifadhi. Niko na ustadi wa kuunda maneno mapya, na kama mfasiri na bingwa wa isimu, nimeombwa niunde istilahi zingi zinazotumika sasa. Nimeshirikiana na watumiaji wengine wa Wikipedia kwenye blogu yangu na kupendekeza tafsiri mpya za mawazo na dhana yaliyo nje ya Uswahilini na Afrika ya Mashariki, nao waliniomba nijiunge na Wikipedia. Na mwishowe, nilijiunga. Nimeona istilahi zilizobuniwa na watumiaji wasio Waswahili zilizo nzito kuelewa na natamani kuwasaidia kurekebisha na kuunda maneno mengine yatakayokuwa sahihi zaidi na rahisi zaidi kuelewa.

Kwa wakati wangu wa ziada, napendelea kuandika na kutembea sehemu tofauti za Ulaya na dunia.

Masomo yanayopendelewa Makala
Afrika
Kiswahili
Uswahili
Botania
Fasihi
Filamu
Fizikia
Hadithi
Hesabu
Historia
Isimu
Jiografia
Kemia
Lugha
Metorolojia
Mitholojia
Muziki
Saikolojia
Sanaa
Sayansi
Spoti
Teknolojia
Televisheni Roxie Roker
Sherman Hemsley
Umakanika
Visasili
Vitabu
Zoolojia