Musa wa Roma (alifariki Roma, Italia, 251) alikuwa padri wa Roma ya Kale aliyeongoza jimbo baada ya kifodini cha Papa Fabiani.

Alifungwa muda mrefu kwa ajili ya imani yake hadi akafa gerezani [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.