Nikola wa Flue
Nikola wa Flue (kwa Kijerumani: Niklaus von Flüe; Unterwalden, Uswisi, 1417 - Sachseln, 21 Machi, 1487) alikuwa Mkristo anaheshimiwa na Wakatoliki na Waprotestanti kama msimamizi wa Uswisi kwa kuepusha vita kati ya majimbo yake[1] na hivyo kudumisha umoja wake[2].
Alitangazwa mwenye heri mwaka 1669, halafu mtakatifu mwaka 1947 na Papa Pius XII[3].
Maisha
haririBaba wa familia ya watoto kumi, mkulima, mwanasiasa, kapteni, hakimu, mwaka 1467 alifuata wito bora zaidi [5] wa kuishi kama mkaapweke mlimani ingawa huko pia alitafutwa na wengi kutoka nchi mbalimbali kwa ushauri wake[1].
Akidharau kabisa malimwengu, aliacha chumba chake mara moja tu ili kupatanisha watu na hivyo kuepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini.
Maarufu kwa ukali wa toba yake, ulitolewa ushahidi kwa kiapo kwamba kwa miaka 19 hakula chochote ila sakramenti ya ekaristi tu.
Sala yake
haririBwana, uniondolee yale yote yanayonizuia nisifike kwako;
unijalie yale yote yanayoweza kunifikisha kwako;
ujichukulie nafsi yangu, na kujipatia kabisa mwenyewe[6].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 "The Saints: A concise Biographical Dictionary, edited by John Coulson, Hawthorn Books, Inc., 1960". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-27. Iliwekwa mnamo 2021-03-19.
- ↑ "Blessed Nicholas of Flüe". Catholic Encyclopedia. http://www.newadvent.org/cathen/11062a.htm. Retrieved 2008-12-16.
- ↑ www.santiebeati.it/dettaglio/34850
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ "Die weisse Lilie und das Pferd" (kwa Kijerumani). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-29. Iliwekwa mnamo 2008-06-17.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Dondoo hilo limetumiwa na Katekisimu ya Kanisa Katoliki, #226; taz. Catechism of the Catholic Church - I believe in God
Marejeo
hariri- Abel, Winfried, “The Prayer Book of St. Nicholas of Flue: Mystery of the Center”, Christiana Edition, Stein Am Rhein, 1999.
- Boos, Thomas, “Nicholas of Flue, 1417-1487, Swiss Hermit and Peacemaker”, The Pentland Press, Ltd, Edinburgh, 1999.
- Collins, David J. "Turning Swiss: The Patriotism of the Holy Hermit Nicholas". In Reforming Saints. Oxford: Oxford University Press. 2008. ku. 99–122.
- Jung, Carl Gustav, "Brother Klaus", ;;The Collected Works of C. G. Jung;;, Bollingen Series XX, Volume 11, Princeton, 1977.
- Kaiser, Lother Emanuel, “Nicholas of Flue-Brother Nicholas: Saint of Peace Throughout the World.” Editions du Signe, Strausbourg, 2002.
- Yates, Christina, “Brother Klaus: A Man of Two Worlds” The Ebor Press, York, England, 1989.
- “Brother Klaus: Our Companion Through Life”, Bruder-Kalusen-Stiftung-Sachseln, 2005.
- "The Transformed Berserker: The Union of Psychic Opposites" The Archetypal Dimensions of the Psyche. von Franz, Marie-Louise. Shambhala, 1997.
Viungo vya nje
hariri- Tradition in Action, a Roman Catholic hagiography with commentary
- Bruder Klaus page at Sachseln Flüeli-Ranft Tourism Bureau (Kijerumani)
- Catholic Encyclopedia article
- Extensive bibliography and link collection
- Photo of his hermitage chapel at KLB Catholic Rural Peoples Movement (Kijerumani)
- The "Book" which he read, a discussion of the painted prayer meditation cloth (Kijerumani)
- The Lily and Horse Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine. from his vision (Kijerumani)
- Collection of sentences of spiritual direction (webpage maintained by the Benedictine Abbey "Abbaye Saint Benoît de Port-Valais," at Le Bouveret in Switzerland) (Kifaransa)
- Homily of Pope John Paul II at the Mass for Peace, Flüeli (1984) (Kifaransa)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |