Papa Celestino I
(Elekezwa kutoka Papa Celestine I)
Papa Celestino I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Septemba 422 hadi kifo chake tarehe 24 Julai 432[1]. Alitokea Campania, Italia na baba yake aliitwa Priscus.
Alimfuata Papa Boniface I akafuatwa na Papa Sixtus III.
Akiwa na juhudi za kulinda na kupanua Kanisa, alianzisha uaskofu katika visiwa vya Britania akaunga mkono Mtaguso wa Efeso katika kumuita Bikira Maria "Mama wa Mungu" dhidi ya mafundisho ya Nestori[2].
Alipambana pia na uzushi wa Upelaji [3] na kupigania nidhamu[4][5] pamoja na kudhibiti farakano la Novatianus[6].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 27 Julai[7] lakini pia 6 Aprili au 8 Aprili.
Tazama pia
haririMaandishi yake
hariri- Opera Omnia katika Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/48700
- ↑ William Walker Rockwell (1911). "Celestine (popes)". In Chisholm, Hugh (ed.). Encyclopædia Britannica. 5. (11th ed.). Cambridge University Press. pp. 599–600.
- ↑ As St. Vincent of Lerins reported in 434:
- Holy Pope Celestine also expresses himself in like manner and to the same effect. For in the Epistle which he wrote to the priests of Gaul, charging them with connivance with error, in that by their silence they failed in their duty to the ancient faith, and allowed profane novelties to spring up, he says: "We are deservedly to blame if we encourage error by silence. Therefore rebuke these people. Restrain their liberty of preaching." Lerins, St. Vincent of. "Commonitory 32". Iliwekwa mnamo 12 Julai 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- Holy Pope Celestine also expresses himself in like manner and to the same effect. For in the Epistle which he wrote to the priests of Gaul, charging them with connivance with error, in that by their silence they failed in their duty to the ancient faith, and allowed profane novelties to spring up, he says: "We are deservedly to blame if we encourage error by silence. Therefore rebuke these people. Restrain their liberty of preaching." Lerins, St. Vincent of. "Commonitory 32". Iliwekwa mnamo 12 Julai 2011.
- ↑ In a letter to certain bishops of Gaul, dated 428, Celestine rebukes the adoption of special clerical garb by the clergy. He wrote: "We [the bishops and clergy] should be distinguished from the common people [plebe] by our learning, not by our clothes; by our conduct, not by our dress; by cleanness of mind, not by the care we spend upon our person". Cfr. H. Thurston, "Clerical Costume," in Catholic Encyclopedia, vol. 4.
- ↑ "Ecclesiastical History 7:11". Iliwekwa mnamo 3 Machi 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Kuhusu Papa Celestino I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Saint Celestine I Ilihifadhiwa 13 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |