Papa Boniface I

Papa Boniface I alikuwa Papa kuanzia tarehe 28/29 Desemba 418 hadi kifo chake tarehe 4 Septemba 422[1]. Alitokea Roma, Italia.

Mt. Bonifas I.

Alimfuata Papa Zosimus akafuatwa na Papa Selestino I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Septemba[2].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.