Petro Maldonado (jina kamili kwa Kihispania: Pedro de Jesus Maldonado Lucero; Chihuahua, Mexico, 15 Juni 1892Chihuahua, Mexico, 11 Februari 1937) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Picha yake halisi.
Picha yake baada ya kuuawa.

Bila kujali dhuluma kali, aliabudu fumbo la Ekaristi hadi dakika yake ya mwisho, alipopigwa kichwa vibaya sana.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.