Rikardo wa Lucca
Rikardo wa Lucca (Wessex, Uingereza, karne ya 7 - Lucca, Toscana, Italia, 3 Aprili 722) alikuwa Mkristo wa Uingereza ambaye alifuata sana dini yake na hatimaye alifariki wakati wa hija yake kwenda Roma pamoja na wanae wawili wa kiume, Vilibaldi wa Eichstätt na Vunibaldi wa Heidenheim.
Kati ya watoto wake, hao na binti mmoja, Valpurga wa Heidenheim wanaheshimiwa kama watakatifu, sawa na naye mwenyewe[1]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |