Tume ya sheria ya kimataifa

Tume ya sheria ya kimataifa (International Law Commission kifupi ILC ) ni taasisi ya Umoja wa Mataifa (UM).

Kamati ya wanachama wa baraza la tume ya sheria za kimataifa

Ilianzishwa mwaka 1947 na Mkutano Mkuu wa UM kwa shabaha ya kuendeleza kanuni za haki ya kimataifa. Mapendekezo yake mara nyingi yamekubaliwa na kuingia katika misingi ya haki ya kimataifa ya leo.

Tume ni kamati ya wataalamu wa sheria 34 wanaochaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano. Wanatakiwa kutoka katika sehemu mbalimbali za dunia penye mifumo tofauti ya sheria. Wengi wao ni maprofesa na walimu wa sheria katika nchi zao.

Kuna mkutano wa kila mwaka huko Geneva, Uswisi.

Wanakamati wa tume kwa kipindi cha 2012 - 2016 walikuwa wafuatao:

Marejeo

hariri
  • Shabtai Rosenne, "The International Law Commission 1940-59", British Yearbook of International Law, vol. 36 (1960)
  • H.W. Briggs, The International Law Commission (Ithaca, New York, Cornell University Press, 1965)
  • James Crawford, The International Law Commission's Articles on State Responsibility: Introduction, Text and Commentary (Cambridge, Cambridge University Press, 2002)
  • Georg Nolte (Ed.), Peace through International Law: The Role of the International Law Commission. A Colloquium at the Occasion of its Sixtieth Anniversary (Berlin, 2009)
  • Jeffrey S. Morton, The International Law Commission of the United Nations
  • Stephan Wittich, "The International Law Commission's Articles on the Responsibility of States for Internationally Wrongful Acts Adopted on Second Reading" Leiden Journal of International Law 15(2002) pp. 891-919

Viungo vya nje

hariri