Eneo bunge la Yatta
(Elekezwa kutoka Yatta)
Eneo bunge la Yatta ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Machakos, Mashariki mwa Kenya, ni miongoni mwa majimbo nane ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa Kenya mnamo 1963.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Gideon Munyao Mutiso | APP | |
1969 | Gideon Munyao Mutiso | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Simon Kitheka Kiilu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Richard Matheka Kakoi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Gideon Munyao Mutiso | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Gideon Munyao Mutiso | KANU | |
1997 | Francis P. Wambua | SDP | |
2002 | James Philip Mutiso | KANU | Mutiso aliaga dunia kutokana na mafuriko mnamo 2003 [2] |
2003 | Charles Kilonzo | NARC | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Charles Kilonzo | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Ikombe | 18,062 |
Katangi | 10,972 |
Kinyaata | 18,635 |
Kithimani | 25,974 |
Kyua | 11,950 |
Matuu | 27,794 |
Mavoloni | 17,446 |
Ndalani | 22,152 |
Jumla | 152,985 |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Baraza la Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Kakumini/Central | 6,085 | Matuu (Mji) |
Kithendu | 3,930 | Matuu (Mji) |
Kithimani | 4,549 | Matuu (Mji) |
Katulani / Kaluluini | 4,145 | Matuu (Mji) |
Ikombe | 6,693 | Masaku county |
Katangi / Kyua | 7,411 | Masaku county |
Kinyaata | 6,343 | Masaku county |
Mavoloni | 5,817 | Masaku county |
Ndalani | 8,072 | Masaku county |
Jumla | 53,045 | |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ BBC News, 5 Mei 2003: Floods leave Nairobi dry
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Yatta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |