Yosefu Calasanz
Yosefu Calasanz, Sch.P. (kwa Kihispania José de Calasanz; Peralta de la Sal, Aragon, leo nchini Hispania, 11 Septemba 1557 - Roma, Italia, 25 Agosti 1648) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu kwa kuanzisha shule za bure ili kulea vijana katika upendo na hekima ya Injili[1].
Kwa ajili hiyo huko Roma alianzisha Shirika la Waskolopi lenye kulenga elimu ya watoto maskini.
Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 7 Agosti 1748, halafu Papa Klementi XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Julai 1767.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Josep Domènech i Mira, Joseph Calasanz (1557–1648), "Prospects: Quarterly Review of Comparative Education. Paris, UNESCO, XXVII: 2, 327–39. [1] Ilihifadhiwa 24 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi
- Statue of St Joseph Calasanctius in St Peter's Basilica
- Lives of the Saints: August 27 – St Joseph Calasanctius
- Catholic Encyclopedia: Clerks Regular of the Pious Schools
- "St. Joseph Calasanz", Saint of the Day, American Catholic Ilihifadhiwa 3 Septemba 2016 kwenye Wayback Machine.
- Founder Statue in St Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |