Aboud Jumbe Mwinyi

(Elekezwa kutoka Aboud Jumbe)
Picha:Jumbe.jpg
Aboud Jumbe

Aboud Jumbe Mwinyi (Zanzibar, 14 Juni 1920 - Dar es Salaam, 14 Agosti 2016 [1]) alikuwa rais wa pili wa Zanzibar toka tarehe 11 Aprili 1972 hadi 30 Januari 1984 alipojiuzulu.

TanbihiEdit

Alitanguliwa na
Abeid Amani Karume
Makamu wa Rais wa Tanzania
1972-1984
Akafuatiwa na
Ali Hassan Mwinyi
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aboud Jumbe Mwinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.