Augusta, Maine

Augusta ni jina la mji mkuu wa jimho la Maine nchini Marekani. Idadi ya wakazi ya mjini hapa ilikadiriwa hadi kufikia kiasi cha watu 18,560 wanaoishi mjini hapa. Mji uliazishwa mnamo mwaka wa 1754. Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Augusta, Maine
Augusta, Maine

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Augusta katika Marekani

Majiranukta: 44°18′38″N 69°46′48″W / 44.31056°N 69.78000°W / 44.31056; -69.78000
Nchi Marekani
Jimbo Maine
Wilaya Kennebec
Idadi ya wakazi (2000)
 - 18,560
Tovuti: www.ci.augusta.me.us

Viungo vya njeEditMiji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Augusta, Maine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.