Olympia, Washington
Olympia ndiyo mji mkuu katika jimbo la Washington. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 43,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 29 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Olympia | |
Mahali pa mji wa Olympia katika Marekani |
|
Majiranukta: 47°2′33″N 122°53′35″W / 47.04250°N 122.89306°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Washington |
Wilaya | Thurston |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 42,514 |
Tovuti: www.olympiawa.gov |
Viungo vya nje
hariri- City of Olympia
- Thurston County Chamber of Commerce
- Everyday Olympia Ilihifadhiwa 4 Julai 2009 kwenye Wayback Machine. Magazine for Downtown Olympia
- Capital City Pride Festival
- Olympia's Procession of the Species Celebration
- Capitol tour Ilihifadhiwa 15 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- Online Olympia RSS Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine. Live RSS Feeds from the Olympia Community
- Olyforums Ilihifadhiwa 21 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. A community forum for Olympia
- Olympia-Rafah Sister City Project Ilihifadhiwa 2 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Olympia, Washington kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |