Carson City, Nevada

Carson City ndiyo mji mkuu katika jimbo la Nevada. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 50,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1463 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mkoa wa Carson City, Nevada


Carson City
Carson City is located in Marekani
Carson City
Carson City

Mahali pa mji wa Carson City katika Marekani

Majiranukta: 39°9′39″N 119°45′14″W / 39.16083°N 119.75389°W / 39.16083; -119.75389
Nchi Marekani
Jimbo Nevada
Wilaya
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 52,547
Tovuti:  www.carson-city.nv.us


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Carson City, Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming